Add parallel Print Page Options

Petro Amkana Yesu

(Mt 26:57-58,69-75; Mk 14:53-54,66-72; Yh 18:12-18,25-27)

54 Walimkamata Yesu na kumpeleka nyumbani kwa kuhani mkuu. Petro alimfuata Yesu lakini alikaa nyuma kwa mbali. 55 Baadhi ya watu walikoka moto katikati ya ua kisha wakaketi pamoja. Petro naye aliketi pamoja nao.

Read full chapter