Add parallel Print Page Options

Ukoo wa Yesu

(Mt 1:1-17)

23 Yesu alipoanza kufundisha, alikuwa na umri kama wa miaka thelathini. Watu walidhani kuwa Yesu alikuwa Mwana wa Yusufu.

Yusufu alikuwa mwana wa Eli.

24 Eli alikuwa mwana wa Mathati.

Mathati alikuwa mwana wa Lawi.

Lawi alikuwa mwana wa Melki.

Melki alikuwa mwana wa Yana.

Yana alikuwa mwana wa Yusufu.

25 Yusufu alikuwa mwana wa Matathia.

Matathia alikuwa mwana wa Amosi.

Amosi alikuwa mwana wa Nahumu.

Nahumu alikuwa mwana wa Esli.

Esli alikuwa mwana wa Nagai.

26 Nagai alikuwa mwana wa Maathi.

Maathi alikuwa mwana wa Matathia.

Matathia alikuwa mwana wa Semei.

Semei alikuwa mwana wa Yusufu.

Yusufu alikuwa mwana wa Yoda.

27 Yoda alikuwa mwana wa Yoana.

Yoana alikuwa mwana wa Resa.

Resa alikuwa mwana wa Zerubabeli.

Zerubabeli alikuwa mwana wa Shealtieli.

Shealtieli alikuwa mwana wa Neri.

28 Neri alikuwa mwana wa Melki.

Melki alikuwa mwana wa Adi.

Adi alikuwa mwana wa Kosamu.

Kosamu alikuwa mwana wa Elmadamu,

Elmadamu alikuwa mwana wa Eri.

29 Eri alikuwa mwana wa Yoshua.

Yoshua alikuwa mwana wa Eliezeri.

Eliezeri alikuwa mwana wa Yorimu.

Yorimu alikuwa mwana wa Mathati.

Mathati alikuwa mwana wa Lawi.

30 Lawi alikuwa mwana wa Simeoni.

Simeoni alikuwa mwana wa Yuda.

Yuda alikuwa mwana wa Yusufu.

Yusufu alikuwa mwana wa Yonamu.

Yonamu alikuwa mwana wa Eliakimu.

31 Eliakimu alikuwa mwana wa Melea.

Melea alikuwa mwana wa Mena.

Mena alikuwa mwana wa Matatha.

Matatha alikuwa mwana wa Nathani.

Nathani alikuwa mwana wa Daudi.

32 Daudi alikuwa mwana wa Yese.

Yese alikuwa mwana wa Obedi.

Obedi alikuwa mwana wa Boazi.

Boazi alikuwa mwana wa Salmoni.[a]

Salmoni alikuwa mwana wa Nashoni.

33 Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu.

Aminadabu alikuwa mwana wa Admini,

Admini alikuwa mwana wa Aramu.[b]

Aramu alikuwa mwana wa Hesroni.

Hesroni alikuwa mwana wa Peresi.

Peresi alikuwa mwana wa Yuda.

34 Yuda alikuwa mwana wa Yakobo.

Yakobo alikuwa mwana wa Isaka.

Isaka alikuwa mwana wa Ibrahimu.

Ibrahimu alikuwa mwana wa Tera.

Tera alikuwa mwana wa Nahori.

35 Nahori alikuwa mwana wa Serugi,

Serugi alikuwa mwana wa Ragau.

Ragau alikuwa mwana wa Pelegi.

Pelegi alikuwa mwana wa Eberi,

Eberi alikuwa mwana wa Sala.

36 Sala alikuwa mwana wa Kenani.

Kenani alikuwa mwana wa Arfaksadi.

Arfaksadi alikuwa mwana wa Shemu.

Shemu alikuwa mwana wa Nuhu.

Nuhu alikuwa mwana wa Lameki.

37 Lameki alikuwa mwana wa Methusela.

Methusela alikuwa mwana wa Henoko.

Henoko alikuwa mwana wa Yaredi.

Yaredi alikuwa mwana wa Mahalaleli.

Mahalaleli alikuwa mwana wa Kenani.

38 Kenani alikuwa mwana wa Enoshi.

Enoshi alikuwa mwana wa Sethi.

Sethi alikuwa mwana wa Adamu.

Adamu alikuwa mwana wa Mungu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 3:32 Salmoni Au “Sala”, kama ilivyo katika nakala za zamani za tafsiri ya Kiyunani ya Kale. Tazama Mt 1:4-5 na 1 Nya 2:11.
  2. 3:33 Aramu Baadhi ya nakala za Kiyunani zina “Arni” au “Ramu”; majina mengine ya Aramu.