Add parallel Print Page Options

41 Yeyote anayewapa ninyi kikombe cha maji kwa sababu ninyi ni wake Kristo.[a] Hakika ninawaambia ukweli kwamba, hatapoteza thawabu yake.

Read full chapter

Footnotes

  1. 9:41 Kristo Mpakwa mafuta au masihi, aliyechaguliwa na Mungu.